Fasihi ya Kiswahili Form One TIE Book PDF

          

Form 1 Fasihi ya Kiswahili TIE Book (PDF Download)

Somo la Fasihi ya Kiswahili ni moja kati ya masomo chaguzi katika Elimu ya Sekondari Kidato cha III–IV kwa wanafunzi walioko katika Mkondo wa Elimu ya Jumla. 

Lengo la kujifunza somo la Fasihi ya Kiswahili ni kumjengea mwanafunzi maarifa, stadi na mwelekeo utakaomwezesha kuthamini kazi za fasihi ya Kiswahili na kujenga ujumi na falsafa ya Kiafrika katika kazi za fasihi. 

Vilevile, mwanafunzi ataweza kutathmini mbinu za kisanaa za utunzi wa kazi za kifasihi na kuzitumia katika kubuni kazi za fasihi pamoja na kutambua fursa zitakazomwezesha kujiajiri au kuajiriwa.

Tanzania Institute of Education


The Tanzania Institute of Education (TIE) is a Parastatal Organization under the Ministry of Education and Vocational Training (MOEVT) charged with the responsibility of ensuring the quality of education in Tanzania at the pre-school, primary, secondary and teacher training levels.


The Institute is charged with the responsibility of interpreting government policies on education to befitting curriculum programs and instructional materials in order to facilitate provision of quality education at pre- primary, basic, secondary and teacher education levels.


Click here to Download PDF



Tags