Kiswahili Form One TIE Book PDF

           

Form 1 Kiswahili TIE Book (PDF Download)

Kiswahili ni moja kati ya masomo ya lazima katika ngazi ya Elimu ya Sekondari Kidato cha I–IV kwa wanafunzi walioko katika Mkondo wa Elimu ya Jumla na Amali.


Somo hili linalenga kuendelea kukuza uwezo wa mwanafunzi wa kuwasiliana kwa ufasaha kwa kutumia lugha ya Kiswahili ambalo ni moja kati ya malengo makuu ya elimu nchini Tanzania na ni moja kati ya stadi za Karne ya 21. Aidha, somo hili linalenga kumwezesha mwanafunzi kumudu Kiswahili, kukitumia na kukithamini.


Katika somo hili mwanafunzi atajifunza umahiri mbalimbali ikiwemo kuhariri, kukalimani na kutafsiri na hivyo kuweza kutumia ujuzi huu kumudu maisha yake ya kila siku

Tanzania Institute of Education


The Tanzania Institute of Education (TIE) is a Parastatal Organization under the Ministry of Education and Vocational Training (MOEVT) charged with the responsibility of ensuring the quality of education in Tanzania at the pre-school, primary, secondary and teacher training levels.


The Institute is charged with the responsibility of interpreting government policies on education to befitting curriculum programs and instructional materials in order to facilitate provision of quality education at pre- primary, basic, secondary and teacher education levels.


Click here to Download PDF



Tags